Thursday, December 10, 2015

WAFANYAKAZI WA ZANLINK ZANZIBAR NA MBUNGE WA CHUMBUNI AKUJUMUIKA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE KUITIKIA WITO WA RAIS DK JOHN MAGUFULI, UHURU NA KAZI

 Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza AMJAD akishirikiana Wananchi wa Jimbo lake kutekeleza Wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufu wa Hapa Kazi Tu. kwa kufanya usafi katika maeneo ya Jimbo lao.
 Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakishiriki katika Usafi wa Mazingira ya Jimbo Lao.
Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakifanya Usafi katika maeneo ya Jimbo lao wakijumuika na Mbunge wao Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD katika kuitikia Wito wa Hapa Kazi Tu, kuadhimisha Miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Zanlink Zanzibar wakiitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wakishiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika sehemu yao ya Kazi kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru.  
Mfanyakazi wa Zanlink Zanzibar akishiriki katika Zoezi la Usafi kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania Bara imeadhimishwa Kitaifa kwa Usafi wa mazingira.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu