Thursday, December 17, 2015

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA JAJI WARIOBA


Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea, Desemba 16, 2015. 

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea Desemba 16, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu