Monday, January 18, 2016

BONNAH EDUCATION TRUST FUND WAZINDUA KAMPENI YA ‘MAZINGIRA BORA KWA ELIMU BORA’

 Wageni waalikwa kutoka Jimbo la Segerea wakiwepo wananchi wa kawaida wakifuatilia tukio la uzinduzi wa kampeni hiyo.
 Mwanamitido  wa Kimataifa, Flaviana Matata akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya  ya Mazingira Bora kwa Elimu Bora yenye lengo la kufanikisha maendeleo ya elimu katika Jimbo la Segerea kwa kusaidia kununua madawati, kuchimba matundu ya vyoo, kuchimba visima vya maji na kujenga vyumba maalum vya watoto wa kike, nchini ya uratibu wa Mfuko wa Udhamini wa Elimu wa Bonnah (BETF), jijini Dar es Salaam jana. Wengine pichani ni mwandaaji wa kampeni hiyo ambaye ni Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa na Mratibu wa Elimu Josephat Peter.
Mbunge wa Segerea Mhe Bonnah Kaluwa akiongea  wakati wa mkutano na waandishi wa habari.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu