Familia ya Leticia Nyerere ya Lanham, MD inasikitika kutangaza kifo cha mama Yao mpenzi kilichotokea tarehe 10 January 2016 nchini marekani. Mipango na utaratibu wa kusafirisha mwili inafanywa. Msiba upo 9004 brightlea court, Lanham MD 20706.
Kama mila na desturi zetu tufike kuwafariji familia. Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Margareth mageni 240 462 9138
Emmanuel muganda 240 447 2801
Ramadhani kamguna 202 459 3838

Bwana ametoa. Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: