Tuesday, January 19, 2016

MKURUGENZI MKUU WA TAA, SULEIMAN SAID SULEIMAN AZIKWA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM


  Jeneza lenye mwili wa marehemu Injinia Suleiman, likifikishwa makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, leo Januari 18, 2016 tayari kwa amzishi
 Marehemu Injinia Suleiman Said Suleiman.

 Hosam Suleiman Said Suleiman, (kushoto), mtoto wa mwisho wa marehemu akifarijiwa na vijana wenzake
Balozi wa Uholanzi hapa nchini, Jaap Frederiks akijumuika na waombolezaji wengine nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam. Uholanzi ni mdau mkubwa wa viwanja vya ndege hapa nchini
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Mzee Hassan Dalali, akimuelezea marehemu wakati kuhusu mchango wake katika klabu hiyo
Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, Bw.Injinia Thomas Haule (wakwanza kulia), na waombolezaji wengine wakiwa kwenye makaburi ya Kisutu alikozikwa marehemu
Mfanyakazi wa TAA, akiwa na huzuni wakati wa mkusanyiko wa waombolezaji nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, (TAA), ambaye pia anashughulikia Mahusiano, Bw.Ramadhan Maleta, (katikati), akiwa na huzuni wakati wa mkusanyiko wa waombolezaji nyumbani kwa marehemu 
Mwenyekiti wa Bodi ya TAA, Profesa Msambichaka, akitoa salamu za Mamlaka wakati wa mkusanyiko wa waombolezaji nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam
Bw. Maleta, akijadiliana jambo na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa TAA, Bw. Godfrey Lutego, (kushoto)
Salamu kutoka TAA
Mkurugenzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere TBIII, Mhandisi Mohammed Milanga, (mwenye balaghashia)akiwa na waombolezaji wengine nyumbani kwa marehemu
 Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Injinia Prosper Tesha, akimuelezea marehemu ambaye alichukua nafasi yake baada ya mkataba wake kumalizika
 Huzuni ilitawala kwenye mazishi ya Injinia Suleiman


Salamu kutoka Klabu ya SimbaRais wa Simba, Evans Aveva, (katikati mwenye miwani), akibadilishana mawazo na viongozi wenzake na ndugu na jamaa wa marehemu

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu