Friday, January 15, 2016

NGOMA MPYA TOKA KWA LINEX INAITWA “KWA HELA” NDIO NGUMZO LA JIJI..!!

HATIMAYE LINEX AMEACHIA NEW TRACK NYINGINE MPYA INAYOITWA “KWA HELA” NGOMA IMEFANYIKA PALE STUDIO ZA ‘HAPPY” CHINI YA PRODUCER MATATA ” EMA THE BOY”, WIMBO UMEPANGILIWA KWA USTADI WA HALI YA JUU NA MASHAHIRI YAMEKWENDA SHULE, KAMA KAWAIDA YAKE LINEX MWENYE SAUTI ISIYOELEZEKA AMEIMBA WIMBO HUO KWA HISIA NZITO SANA , KWA KWELI NI WIMBO MZURI SANA AMBAO UTASUMBUA SANA KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA REDIO NDANI NA NJE YA NCHI. HUU NI MWENDELEZO WA KAZI NYINGI ZINAZOKUJA CHINI YA MENEJIMENTI MPYA YA LINEX SUNDAY.

NB: TAFADHALI WIMBO NI RUKSA KUPIGWA KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA REDIO LAKINI WIMBO UPIGWE KUANZIA LEO HII IFIKAPO SAA 9:00 ALASIRI. KWA SABABU MUDA HUO NDIO MUDA WA KUITAMBULISHA NYIMBO.

MSANII : LINEX

JINA LA WIMBO : KWA HELA

STUDIO : HAPPY STUDIO

PRODUCER : EMA THE BOY

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu