Monday, January 11, 2016

RAIS DK MAGUFULI AMFARIJI MAMA MARIA NYERERE KWA KIFO CHA MKWEWE LETICIA NYERERE

 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimfariji na Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na wanafamilia alipokwenda nyumbani kwake Msasani kumfariji kufuatia kifo cha mkwe wake Marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani.

 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na wanafamilia alipokwenda nyumbani kwake Msasani kumfariji kufuatia kifo cha mkwe wake Marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani.

Picha na Ikulu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu