Friday, January 1, 2016

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU WAKE, IKULU JIJINI DAR

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence S. Milanzi  akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania, Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jaji Meja Jenerali Projest  A. Rwegasira akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora,Dkt.Laurian Ndumbaro akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi  Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Waandishi mbalimbali wa Vyombo vya Habari wakifuatilia kwa umakini  hafla ya kuwaapisha kwa Makatibu Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,Amina H.Shaban akila kiapo  cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje,Afrika Mashariki,Kikanda na Kimataifa, Balozi Ramadhan  Muombwa Mwinyi akila kiapo cha utii mbele ya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Immaculate Peter Ngwale akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wake iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa  Simon S. Msanjila akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu
Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu
Wakuu na Manaibu wake iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Epifani Mdoe akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi
Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,James Dotto akila kiapo cha  utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe  Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa  hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Amon Mpanju akila kiapo cha  utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe  Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa  hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wake iliyofanyika katika  Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Makatibu Wakuu na manaibu wao kabla ya kuapishwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Pichani kuliani ni Makamau wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na  Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao Ikulu jijini Dar,wa tatu kulia ni Mke wa  Rais, Mama Janeth Magufuli pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. George Masaju.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa amembatana na  Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakiwasili kwenye hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu