Thursday, January 14, 2016

TIGO YASHEHEREKEA SIKU YA MAPINDUZI NA WATEJA ZANZIBAR


Mkazi wa Malindi Salim Salim akipokea zawadi ya Tisheti kutoka kwa mfanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar Moses Kalyata wakati wa siku ya maadhimisho ya mapinduzi ya visiwani humo

Mkazi wa Bumbwini Ally Said akikabidhiwa zawadi ya Kofia na  Magnus Saulo  mmoja wa wafanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar ikiwa ni moja ya shughuli zilizofanyika katika sherehe za mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana nchini humo 
Mkazi wa Bububu Rashid Salehe  Akipokea zawadi ya kofia kutoka kwa  mfanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar  Magnus Saulo kama moja ya shughuli zilizofanyika jana wakati wa maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar 
Mkazi wa Malindi akipokea zawadi ya Tisheti kwa mmoja wa wafanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar  Moses Kalyata katika moja zilizofanyika katika maadhimisho ya siku ya mapinduzi jana visiwani humo.
Vinywaji na chakula vikiwa vimeandaliwa tayari kwa ajili ya wateja wote waliotembelea duka la tigo linalopatikana Mtaa wa Malindi Zanzibar katika maadhimisho ya siku ya Mapinduzi visiwani humo

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu