Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maji safi na Maji taka Dar es Salaam (DAWASCO) Mhandisi Cypian Luhemeja akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Mbogo Mfutakamba ,wakielekea katika kikao cha Uongozi na wafanyakazi wa DAWASCO kilichofanyika makao makuu ya shirika hilo. 
Mkurugenzi wa Rasilimali watu w Shirika la Maji safi na Maji taka Dar es Salaam,DAWASCO,Bi,Joy Chidosa akifanya utamburisho katika kikao hicho.
Baadhi ya Mameneja wa vitengo mbalimbali katika Shirika la Maji safi na Maji taka jijini Dar es Salaam DAWASCO ,wakiwa katika kikao hicho.
Baadhi ya wafanyakazi wa Dawasco wakionekana wenye nyuso za furaha wakati wa kikao hicho.
Afisa Mtendaji mkuu wa DAWASCO,Mhandisi Cyprian Luhemeja akifurahia jambo na katibu mkuu wa wizara ya maji na umwagiliai Mhandisi, Mbogo Mfutakamba.
Afisa Mtendaji mkuu wa DAWASCO,Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza wakati wa kikao cha wafanyakazi kilicho fanyika makao makuu ya ofisi za Dawasco.
Baadhi ya wafanyakazi wa DAWASCO.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagliaji,Mhandisi Mbogo Mfutakamba akizungumza na wafanyakazi wa DAWASCO wakati wa kikao kilichofanyika makao makuu ya shirika hilo .
Mwakilishi wa wafanyakazi wa DAWASCO,Abdalah Jongo akiongea kwa niaba yao wakati wa kikao hicho.
Baadhi ya wafanyakazi wa DAWASCO wakiliombea dua shirika hilo ili liweze kutimiza malengo yake ya kutoa huduma ya maji safi na maji taka kwa usalama kwa wakazi wa miji ya Dar es Salaam, Kibaha na Bagamoyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: