Friday, February 12, 2016

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA TRL WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Shirika la Reli nchini Tanzania (TRL), wakiwafikishwa katika  mahakama ya  Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Dalaam tayari kwa kusomewa mashitaka 9 yanayo wakabili likiwemo la  tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA).
Baadhi wa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli nchini Tanzania (TRL), wakiwa katika chumba cha mahakama ya Kisutu tayari kwa kusomewa mashitaka 9 yanayo wakabili likiwemo la  tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, wapili kulia ni aliyekuwa Mkurugenzi wa shirika hilo,  Mhandisi Kapallo Kisamfu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu