Monday, February 15, 2016

HALI YA USALAMA KWA WAKAZI WA DAR YAENDELEA KUWA TETE KUTOKANA NA KUANGUKA OVYO KWA MAKONTENA

Kontena limedodoka kutoka katika lori, eneo la Kurasini jinini Dar es Salaam sababu ya kudondoka kwa kontena ni kutofungwa vizuri, wakati Wa kukata kona likadondoka kutokea kwenye gari. Hakuna madhala yoyote yaliyotokea kwa binadamu zaidi ya kuhatarisha maisha yao na wakazi wa maeneo ya kurasini na vitongoji vyake. Picha kwa hisani ya Mdau wa Kajunason Blog, Imani Ntila.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu