Saturday, February 13, 2016

IPENDE KAZI YAKO!

Pichani ni wafanyabiashara wauza matunda, karanga mitaani wakiwa katika mavazi nadhifu kama wanakwenda makazini. Jambo la kuwapongeza wananchi hawa ni kujali unadhifu wao bila kujali wanafanya kazi gani? Tunapaswa sikuzote kujali mavazi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu