Friday, February 12, 2016

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. ASHANTU KIJAJI AFUNGUA MKUTANO WA 25 WA MWAKA WA WADAU NA WANACHAMA WAMFUKO WA PENSHENI WA PPF,JIJINI DAR.


Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji (wa
pili kulia) akimkabidhi Cheti za mshindi wa kwanza wajumla Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu Charles Kazuka, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhani Kijjah. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhani Kijjah, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho.
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji (Mb) akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho. Akizungumza wakati wa mkutano huo Dkt.Kijaji aliupongeza Mfuko huo wa PPF kwa mikakati thabiti ya kutoa huduma zake kwaJamii.
 Baadhi ya Wadau na Wanachama wa Mfuko huowakimsikiliza Mgeni rasmi wakati wa ufunguzi huo leo kwenye Ukumbi wa  Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Baadhi ya Wadau na Wanachama wa Mfuko huowakimsikiliza Mgeni rasmi wakati wa ufunguzi huo leo kwenye Ukumbi wa  Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Baadhi ya Wadau na Wanachama wa Mfuko huowakimsikiliza Mgeni rasmi wakati wa ufunguzi huo leo kwenye Ukumbi wa  Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji (wa pili kulia) akimkabidhi Cheti za mshindi wa pili wa Usafirishaji, Mawasiliano na Uzalishaji Umeme, Ofisa wa kampuni ya Simu za mkononi ya Airtel, Pamela Mwandetele, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji (wa pili kulia) akimkabidhi Cheti za mshindi wa kwanza wajumla Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu Charles Kazuka, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhani Kijjah. Kulia ni Mjumbe wa kamati ya Bunge, Richard Ndasa.
Mgeni rasmi akitoa vyeti kwa washindi wamfuko huo...
Mwanachama wa PPF, Bakari Kaoneka, akitoa ushuhuda wa Fao la uzeeni , wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Mwanachama wa PPF, Angela Mgulu, mfanyakazi wa Benki ya NBC ya jijini Mwanza, akitoa ushuhuda wa Fao la Uzazi, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Mwanachama wa PPF, Sarah Haule, mkazi wa Tabata jijini dar es Salaam, akitoa ushuhuda wa Fao la Uzazi , wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Mwanachama wa PPF, Dereva wa Bodaboda kutoka Mkoa wa Mwanza, Lazaro Mussa, akitoa ushuhuda wa Fao la Wote Scheme wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, William Erio (kulia) akijadiliana jambo na Meneja Kiongozi wa PPF, Mbarouk Magawa (katikati) na mwendeshaji wa mkutano huo,Mc Mavunde
Wadau wakisimama kumuaga mgeni rasmi baada ya ufunguzi huo...
Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio, akihojiwa na baadhi ya waandishi wa habari wa TV baada ya ufunguzi huo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu