Wednesday, February 24, 2016

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA ZAMBIA NCHINI MHE JUDITH KANGOMA-KAPIJIMPANGA IKULU

Balozi wa Zambia nchini Mhe Judith Kangoma-kapijimpanga akimsalimia kwa unyenyekevu wa wanawake wa Kiafrika Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne February 23, 2016.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu