Saturday, February 6, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WAKAZI WA MOROGORO PAMOJA NA KUKAGUA BARABARA YA MOROGORO- DODOMA ENEO LA KIBAIGWA

Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ukipita katika eneo  la Msamvu mjini Morogoro kuelekea Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa  Msamvu mjini Morogoro wakati akiwa njiani kuelekea Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa  Wami dakawa mkoani Morogoro wakati akiwa njiani kuelekea  Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa eneo  la Magole mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa  Dumila Mkoani Morogoro wakati akielekea Dodoma kwa kutumia usafiri wa Gari.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ukarabati unaondelea katika barabara kuu ya Morogoro-Dodoma eneo la Kibaigwa . sehemu ya barabara hiyo inakarabatiwa chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS. 

PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu