Friday, February 26, 2016

SEMA USIKIKE; SARUJI YA DANGOTE YALETA KIZAA ZAA MTWARA

SARUJI YA DANGOTE inategenezwa Mtwara, kwa malighafi za mtwara, kama madini mawe aina ya limestone na gypsum, pamoja na nishati ya gesi asilia, lakini cha kustaajabu ni kuona bidhaa hii muhimu kwa ujenzi kuuzwa aghali zaidi kwa wakazi wa Mtwara (Sh.13,500/=) ukilinganisha na bei inayouzwa Dar (Sh.11,000/=).

Wahenga walisema: mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!

Mwananchi wa Mtwara,
Emmanuel Seni.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu