Monday, February 22, 2016

VIJIJI 6 VYENYE ZAIDI YA WAKAZI 2000 VYAKOSA MAWASILIANO YA BARABARA NAMTUMBO


Vijiji 6 vyenye zaidi ya Wakazi 2000 wilaya ya NAMTUMBO mkoani RUVUMA, Vimekosa mawasiliano ya barabara baada ya kuharibika kwa daraja la LIBANGU lililopo mto LWEGU, kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. Story zaidi hii hapa RUVUMA TV.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu