Friday, March 11, 2016

DUKA LA KAMERA LA KAMPUNI YA JUMBO LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Meneja mauzo kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Mathias Luoga akizungumza na wadau mbalimbali wa Kamera pamoja na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa duka la kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera, duka lililopo jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wageni waalikwa
 Muonekano wa duka la kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza
linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera.
Mkurugenzi Mtendaji, Paul Buckendahl akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka la kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera duka lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam.Kushoto ni  Meneja mauzo kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Mathias Luoga.

 Paul akiwaongoza wageni waalikwa kusimama kwa dakika moja kumkumbuka marehemu Deo Filikunjombe
 Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Ritta Poulsen akihutubia wakati wa uzinduzi wa duka hilo
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Sara Filikunjombe(wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali leo katika uzinduzi wa Duka la Kamera katika jengo la Benjamin Mkapa Tower jijini Dar es Salaam leo.
 Mgeni Rasmi, Ritha Paulsen (wakwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Jumbo Camera House Ltd wakifungua  shampaini katika hafla ya uzinduzi wa duka la kamera lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam leo.
Mgeni Rasmi, Ritha Paulsen (wakwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Jumbo Camera House Ltd wakigonganisha glasi za shampeni katika uzinduzi wa duka la kamera lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam leo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu