Msanii Emmanuel Simwinga maarufu 'Izzo Bizness' akitumbuiza kwenye tamasha la Pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita.
Izzo Bizness akishow love kwa mashabiki zake tamasha la pasaka la home Sweet Home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita. 
Mamia ya mashabiki wakifurahia burudani toka kwa Izzo Bizness. 
Yani ilikuwa shangwe wakati Izzo Bizness akitumbuiza jukwaani kwenye tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: