Wednesday, March 23, 2016

RATIBA YA MAZIKO YA BABA YAKE JOHN MNYIKA

 Nawashukuru sana (kila mmoja kwa nafasi yake) kwa faraja katika msiba wa baba yetu, Mzee John Michael Dalali.

Ratiba:

Leo Jumatano 23/03/2016 Mwili unapokelewa nyumbani, Temeke saa kumi alasiri (1600 Hrs). Kisha ibada ya misa takatifu hapa nyumbani kuanzia saa 11 unusu jioni (1730Hrs).

Mazishi Kesho, Alhamisi 24/03/2016

Ibada ya Misa Takatifu itaanza saa tano (1100hrs) Kanisa Katoliki Mtoni (Mt. Josephine Bakhita)

Mazishi, makaburi ya Chang'ombe Maduka mawili kuanzia saa saba mchana (1300 Hrs).

Raha ya milele umpe, ee bwana na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani. Amina.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu