Friday, March 18, 2016

TAARIFA YA MSIBA

Familia ya Bwana Mathew Chando wa Mikocheni Regent Dar es salaam inasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa mzee Mathew Chando kilichotokea tarehe 15/03/2016 huko Regent Estate mtaa wa Chato Dar es Salaam.

Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi tarehe 19/03/2016 saa 9 alasiri katika makaburi ya Kinondoni Dar es salaam na yatatanguliwa na ibada ya mazishi itakayofanyika katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Msasani Dar es salaam kuanzia saa 7 mchana.

Habari ziwafikie ukoo wote wa Mathew Chando, ndugu,jamaa na marafiki popote pale walipo.

Msiba uko nyumbani kwa marehemu Regent estate mtaa wa Chato, Dar es Salaam.

"Yesu akwambia,mimi ndimi huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi,ajapokufa,atakua anaishi". Yohana 11:25.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu