Thursday, March 24, 2016

UZINDUZI WA MRADI WA USAID WA UIMARISHAJI MIFUMO YA SEKTA ZA UMMA WAFANYIKA MKOANI DODOMA

RC wa Dodoma, Jordan Rugimbana, akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3
RC wa Dodoma Jordan Rugibana akiteta na Mkurugaenzi wa Mradi wa PS3, Dk. Emmanuel Malangalila, wakati wa uzinduzi
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za Dodoma wakifuatilia mada wakati wa uzinduzi wa Mradi wa PS3 mkoani humo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia majadiliano wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3 mkoani Dodoma
Dk. Conrad Mbuya wa PS3 akitoa mada wakati wa uzinduzi wa mradi mkoani Dodoma.
Mkurugenzi wa Mradi wa PS3, Dk. Emmanuel Malangalila, akitoa mada kwenye uzunduzi wa mradi wa PS3 mkoani Dodoma
Mwakilishi kutoka Ofisi ya Rais (Utumishi) akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3
Matiko Machonchoryo wa PS3 akitoa mada wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3 mkoani Dodoma.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu