Tuesday, March 22, 2016

WANANCHI WA ZANZIBAR WASHEREKEA USHINDI WA RAIS DKT. SHEIN

 Wananchi wa Zanzibar wakiwa wameandamana maeneo mbali mbali ya mji huo kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi rais Shein katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20, 2016, mapema leo Mwenyekiti wa ZEC Jecha alitangaza matokeo na rais Dkt. Shein kuibuka kidedea. Picha zote na John Badi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu