Saturday, March 5, 2016

WASHINDI WA DROO YA KWANZA YA PROMOSHENI YA AZAM/LIGABBVA WAPATIKANA

Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta (kulia) akizungumza wakati wa kutangaza washindi wawili wa droo ya kwanza  wa Promosheni ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu ambao leo wamepata zawadi   Pembeni kwake Ni afisa mawasiliano wa  Azam Media , Irada Mtonga .Promosheni  hiyo ya ushirikiano wa Tigo Pesa na Azam TV, itaisha Machi 13 na washindi wawili watakwenda Hispania.Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta (kulia) akimkabidhi Mwakilishi wa Mshindi wa droo ya kwanza  wa Promosheni ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu ambao leo wamepata zawadi  Mary saanane ambaye ni mke wa Pongezi Saanane wakati wa kutangaza washindi wawili wa droo ya kwanza  wa Promosheni hii ,Promosheni  hiyo ya ushirikiano wa Tigo Pesa na Azam TV, itaisha Machi 13 na washindi wawili watakwenda Hispania.Mshindi wa droo ya kwanza  wa Promosheni ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu ambao leo wamepata zawadi  Gilbert Tarimo akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) baada ya kukabidhiwa zawadi Promosheni  hiyo ya ushirikiano wa Tigo Pesa na Azam TV, itaisha Machi 13 na washindi wawili watakwenda Hispania.

Mwakilishi wa Mshindi wa droo ya kwanza  wa Promosheni ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu ambao leo wamepata zawadi  Mary saanane ambaye ni mke wa Pongezi Saanane  akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) baada ya kukabidhiwa zawadi Promosheni  hiyo ya ushirikiano wa Tigo Pesa na Azam TV, itaisha Machi 13 na washindi wawili watakwenda Hispania.
Washindi wa droo ya kwanza ya  wa Promosheni ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu ambao leo wamepata zawadi wakiwa katika picha ya pamoja na wakilishi wa Azam Media na Tigo baada ya kukadhibidhiwa zawadi zao katika ofisi za makao makuu ya tigo Makumbusho jijini Dar es salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu