Waziri Mkuu, Kassim majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kwanda  cha maji cha Bunena Spring Water akiwa akika ziara ya mkoa wa Kageza Machi 13, 2016.
Kulia kwake ni Askofu wa jimbo la  Bukoba, Askofu Method Kilaini.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi mkubwa wa maji wa Bunena mjini Bukoba ulio chini ya mamlaka ya maji ya mji huo BUWASA  akiwa katika siku ya kwanza  ya ziara ya mkoa wa Kagera machi 13, 2016.
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua  kiwanda cha Maji ya Bunena Spring Water  kilichopo mjini Bukoba Machi 13, 2016. Alikuwa katika sik ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo mafupi kuhusiana na maji hayo ya  kiwanda cha maji ya Bunena Spring Water cha Bukoba mjini akiwa aktika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa waKagera Machi, 13, 2016.  Kulia kwake ni Askofu wa jimbo la  Bukoba, Askofu Method Kilaini. (Picha na Ofisi ya waziri Mkluu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: