Wednesday, March 23, 2016

ZANTEL YAKABIDHI MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA MACHO WA SHULE YA MSINGI KISIWANDUI UNGUJA

 Mshauri wa Mahusiano ya Umma wa Zantel, Mohamed Mussa akizungumza wakati  akikabidhi vifaa vya kusomea kwa watoto wenye ulemavu wa macho wa shule  ya msingi Kisiwandui. kwa mwalimu mkuu wa shule Bi Taifa Ahmed pamoja na Mkurugenzi wa Elimu ya Shule ya Msingi, bwana Ahmed Abulmajid Shaaban. 
Mshauri wa Mahusiano ya Umma wa Zantel, Mohamed Mussa akikabidhi vifaa vya kusomea kwa watoto wenye ulemavu wa macho wa shule ya msingi Kisiwandui  kwa Mkurugenzi wa Elimu ya Shule ya Msingi, bwana Ahmed Abulmajid  Shaaban. Anayetazama katikati ni mwalimu mkuu wa shule Bi Taifa Ahmed. 
 Mshauri wa Mahusiano ya Umma wa Zantel, Mohamed Mussa akizungumza wakati  akikabidhi vifaa vya kusomea kwa watoto wenye ulemavu wa macho wa shule  ya msingi Kisiwandui. kwa mwalimu mkuu wa shule Bi Taifa Ahmed pamoja na Mkurugenzi wa Elimu ya Shule ya Msingi, bwana Ahmed Abulmajid Shaaban.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu