Saturday, April 2, 2016

ALIYEKUWA KAMISHNA WA TRA, KITILYA NA WAFANYAKAZI WA STANBIC BENKI WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU - DAR

Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya (kushoto) na aliyekuwa mfanyakazi wa Benki ya Stanbic, Shose Sinare pamoja na aliyekuwa mwanasheria wa benki ya stanbic Sioi Solomon wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jioni, ambapo wameshitakiwa  kwa tuhuma za kula njama za kutakatisha fedha na kugushi.
aliyekuwa mfanyakazi wa Benki ya Stanbic, Shose Sinare.
 

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu