Thursday, April 14, 2016

CHEKA UNENEPE; MSICHANA AKITAKA PERUVIAN HAIR MPYA WALA AHANGAIKI ANACHEZA NA PHONEBOOK YAKE

 Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana... Anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha... AnaCOMPOSE Meseji Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni Meseji yake peke yake.

"Babe Mambo, Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani nimeamka So Wet I really miss my Pompolimpo, pole na kazi mme wangu I wish I was there nikumassage na Ulimi hadi usinzie... Leo Niko zangu tu home sijatoka nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?Please maana kutoka mpaka ATM saa hizi usiku. Love you so much".

Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY, anafowadi lile meseji TWAAAAP!! Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka Tegeta, Sinza mpaka Makongo Juu
"Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Justine Kipipa"

Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake anaamka anaenda dukani kwa Shirima
anaagiza Peruvian yake ya Inchi 6 jioni unamkuta NEWS CAFE anawaka huku anakunywa Milkshake ya Vanilla.

We unabaki kujiuliza Demu wa NIT 1st year ana iPhone 6s kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza BOOM, wenzio wana MABOOM BINAFSI wanaCLICK tu hela kibwena.

Demu akiamua Kupauka ni Maamuzi binafsi tu,Wana Mbinu hawa Viumbe ,kufa njaa labda awe Mgoloko wa Tandahimba amekuja juzijuzi na Fuso la Mafenesi ila watoto wa mjini hawaishiwi! STUKA WEWE GIRL.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu