Sunday, April 17, 2016

MVUA YAENDELEA KULETA MAFURIKO JIJINI DAR

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akizungumza na wahanga wa mafuriko Jangwani jijini Dar es Salaam mara baada ya kutembelea na kujionea jinsi maji yalivyojaa kila kona
Mkazi wa Jangwani Dar es Salaam akipanda juu ya mnazi baada ya nyumba yake kuzungukwa na maji.
Mkazi wa Jangwani Dar es Salaam akiamisha mizigo yake baada ya nyumba yake kuzungukwa na maji.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu