Monday, April 4, 2016

TANZIA: TANGAZO LA MSIBA WA BARAKA KOMBE TANZANIA NA LONDON

image1
TUNASIKITIKA MNO KUTANGAZA KIFO CHA BARAKA KOMBE (MTANZANIA MWENZETU PICHA YAKE HAPO JUU) KILICHOTOKEA JANA JUMAPILI 03/04/16. MSIBA UKO 88 B TEMPLETON AVENUE, CHINGFORD, LONDON, E4 6SP. MIPANGO YA MAZISHI INAFANYWA NA NDUGU ZAKE MAREHEMU NA TUTAWAARIFU BAADAYE KIDOGO.

WAKATI TUKISUBIRI MIPANGO HII, KAMA KAWAIDA YETU, TUNAOMBA KUJUMUIKA KUWAPA NDUGU WA MAREHEMU MSAADA WENU WA HALI NA MALI KATIKA MSIBA HUU MZITO NA WA GHAFLA HUKU TUKITAFAKARI NI NJIA YA KILA MTU.

TUNAOMBA KANA INAWEZEKANA ALIYEGUSWA NA MSIBA HUU ATOE MCHANGO WAKE KWA:

MS SARA A TEMU
SANTANDER
ACCOUNT NUMBER 46132094
SORT CODE 09 01 28

KWA TAARIFA ZAIDI NAOMBA MUWASILIANE NA :

MARIAM. 07913978572
SARA. 07996711918
JESTINA. 07557304940
MAKYAO. 07983901141

HOYCE TEMU +255682262627 or +255767262625
ASANTENI. MUNGU AWABARIKI SANA KWA MISAADA YENU YA HALI NA MALI.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu