Friday, April 1, 2016

WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akikabidhi gari la wagonjwa kwa niaba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye katika Ofisi ya Waziri Mkuu tarehe 1 Aprili, 2016.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akikagua vifaa muhimu ndani ya gari la Wagonjwa. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye katika ofisi ya Waziri Mkuu  tarehe 1 Aprili, 2016.
Muonekano wa Gari la Wagonjwa lililokabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) kabla ya kukabidhi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye katika Ofisi ya Waziri Mkuu Aprili 1, 2016
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu