Monday, April 18, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPA POLE MBOWE KWA KUFIWA NA KAKA YAKE


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mwenyekiti wa CHADEMA na
kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe  wakati alipokwenda kumpa pole
 kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe,
nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo
cha kaka yake   Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge,
Freeman Mbowe   (kulia kwake) wakati alipokwenda kumpa pole  kufuatia
kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani
kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  wanafamilia wakati alipokwenda  kumpa pole   Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe     kufuatia kifo cha kaka  yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwanasiasa mkongwe,Kingunge Ngombale- Mwiru  wakati alipokwenda  kumpa pole Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe,  nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu