Friday, April 1, 2016

WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO NA WADAU WA MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene (kushoto) akiongea na wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (hawapo pichani) yanayosimamiwa na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene (kulia) akiongea na wadau wa  mradi wa mabasi yaendayo haraka (hawapo pichani) yanayosimamiwa na  Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam. Kushoto  ni Naibu Waziri Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  (OR-TAMISEMI) Selemani Jaffo.
Kaimu Mtendaji Mkuu Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Mhandisi Ronald Lwekatare akitoa taarifa ya mradi wa mabasi yaendayo mharaka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za  Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene (kushoto) akiongea na wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (hawapo pichani) yanayosimamiwa  na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam.  Katikati ni Naibu Waziri Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Selemani Jaffo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene (wa pili kulia) akiongea na wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka yanayosimamiwa na Wakala wa  Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam.
Msajili Masaidizi wa Hazina Jones Mwalemba akitoa ufafanuzi namna ofisi yake inavyochangia katika kukamilisha mradi wa mabasi yaendayo  haraka wakati wa mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za  Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene  alipokuwa akiongea na wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka yanayosimamiwa na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Takwimu UDART Hamdi Al-Hadj akifafanua jambo wakati wa mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na  Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene alipokuwa akiongea na wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka  yanayosimamiwa na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za  Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene alipokuwa akiongea na  wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka yanayosimamiwa na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam. (Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu