Saturday, May 21, 2016

BWANA DAVIS GISUKA NA BI. DELLNEVER MLANG'A WAUAGA UKAPELA KATIKA KANISA LA KKKT KIMARA - KOROGWE JIJII DAR

Bwana Davis Gisuka na Bibi Dellynever Mlang'a wakiwa ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Kimara - Korogwe jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufunga ndoa yao takatifu. Picha zote na Kajunason Studio.
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania akiwafungisha ndoa Bwana Davis na Bi. Dellynever Mlang'a.
Bwana Davis Gisuka asoma neno.
Bwana Davis Gisuka akimfunua mkewe Bi. Dellynever.
Bwana Davis Gisuka akimvalisha pete mkewe Bi. Dellynever Mlang'a.
Bi. Dellynever Mlang'a akimvalisha pete mumewe Bwana Davis Gisuka.
Nyuso za furaha mara baada ya kufunga pingu za maisha.
Bwana Davis Gisuka akila kiapo mbele ya mkewe Bi. Dellynever Mlang'a.
Bi. Dellyneva Mlang'a akila kiapo mbele ya mumewe Bwana Davis Gisuka.
Bwana Davis na Bi. Dellyneva wakibarikiwa na mchungaji.
Mchungaji akisaini kitabu.
Bwana Davis asaini cheti.
Bi. Dellyneva akisaini cheti.
Wasimamizi nao hawakuwa nyuma kuweka ushahidi wao.
Nderemo na vifiji vikitawala.
Mchungaji akiwakabidhi vyeti.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu