Thursday, May 26, 2016

JAMBO LEO YATOA TUZO KWA MUUZAJI NAKALA NYINGI MWEZI APRILI 2016

 Mkurugenzi wa Gazeti la Jambo Leo, Theophil Makunga (kushoto) akimkaribisha Mohamed Omari wakati alipofika katika ofisi hiyo Dar es Salaam leo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Mkurugenzi wa Gazeti la Jambo Leo, Theophil Makunga kulia akizungumza jambo wakati wa hafla fupi kabla ya kukabidhiwa Tuzo,  Mohamed Omari ya uuzaji wa nakala nyigi kwa Mwezi wa Aprili 2016 

 Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo linalomilikiwa na Kampuni ya Quality Media Group, Anicetus Mwesa (wa nne kushoto) akimkabidhi zawadi maalumu, wakala wa magazeti, Mohamed Omari baada ya kufanikiwa kuuza nakala nyingi zaidi kwa mwezi Aprili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mohamed Omari wa tatu kushoto na mwenzake Fikirini Shabani wa tatu kulia, wakiliangalia Gazeti la Jambo Leo mara  baada ya kuibuka mshindi kwa kuuza kopi nyingi kwa Mwezi wa Aprili 2016 .

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu