Saturday, May 21, 2016

MAONI YA WASOMAJI; MANISPAA YA KINONDONI REKEBISHENI BARABARA

 Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam ni wakali mno katika kutoza ushuru na tozo mbalimbali ambazo wananchi tunatarajia zisaidie kuboresha huduma za jamii na miundombinu zikiwemo barabara za mitaani ambazo ziko chini ya manispaa.

Lakini ebu angalia kwa mfano hii barabara ambayo ipo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam tu hapa utadhani uko Karagwe vijijini huko Kagera. Ukienda Makongo Juu huko ndiyo hutamani kurudi tena na unajiuliza hawa wananchi wanaoishi huku wamemkosea nini Mungu na serikali yao. Something has to be done maana manispaa zote nchini zimeshindwa hili jukumu.

Mwananchi; Mwesiga Kyaruzi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu