Saturday, May 21, 2016

TIGO YAZINDUA HUDUMA YA KIPEKEE YA TIGO GAMES

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiongea na waalikwa waliohudhuria uzinduzi wa  huduma mpya ya michezo kidijitali ijulikanayo kama Tigo Games jijini Dar Es Salaam jana.Tigo Games ni huduma katika wavuti  ambayo imesheheni  michezo mingi kwa ajili ya wateja wa Tigo wenye simu za Smartphone au Tablet zinazotumia mfumo wa Android ambao wataweza kupata huduma hii kwa kupakua App ya Tigo Games.Wasanii wakiigiza kama Mazombie katika kunogesha uzinduzi wa TIGO GAMES.
Wasanii wakicheza mpira katika uzinduziwa tigo games mapema jana katika ukumbi wa High Spirit Jijini Dar es salaam<
Wadau mbalimbaliwakipata taswira mbele ya gari katika RED carpert 
Wasanii wakiwa katika pozi na mfano wa Risasi katika uzinduzi wa TIGO GAMES 
Wadau wakifurahi jambo katika uzinduzi huo
Mtangazaji wa Choice Fm na Mchekeshaji Idris Sultan akiwa live jukwaani kusherehesha uzinduzi wa Tigo Games mapema jana katika ukumbi wa High spirit Jijini Dar es Salaam
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akifurahi jambo na Ofisa Mkuu wa Biashara wa Tigo, Shavkat Berdiev (kushoto ) wakati wa uzinduzi 
Wasanii wakitumbuiza nyimbo za michael Jackson
Mfanyakazi wa Huawei akielekeza jinsi ya kucheza Games hizo mbalimbali zinazopatikana katika Tigo Games 
Baadhi ya wadau wakipata maelekezo jinsi ya kuingia katika mashindano ya kucheza Games na mshindi kujishindia Zawadi
Waadndishi wa habari wakishindana kucheza Games katika uzinduzi wa Tigo Games jana usiku.
Msanii wa kizazi kipya Benpol akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa clouds tv Perfect baada ya uzinduzi wa tigo games
Wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Tigo Games mapema jana usiku
Wadau wakipata picha katika sanamu za michezo ya Tigo Games.
Wadau wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa Tigo Game.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu