Thursday, May 5, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AAGANA NA BALOZI CHIKAWE, AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK


 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi Mathias Chikawe ambaye ameteuliwa kuiwakilisha Tanzania nchini Japan Balozi Chikawe alipofika  kumuaga Waziri Mkuu ofisini kwake mjini Dodoma leo akiwa tayari kwenda kuanza kazi yake.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Denmark nchini Tanzania Bwana Einar Jensen ambaye alifika ofisini kwa waziri mkuu mjini Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Picha na Chris Mfinanga.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu