Wednesday, June 29, 2016

AIRTEL YAKABIDHI MSAADA KWA KITUO CHA SARNAA ISLAMIC ORPHANAGE CENTER MWANZA

Afisa Masoko wa kanda ya ziwa wa Airtel , Emmanuel Raphael akitoa msaada wa chakula kitakachotumika katika msimu huu wa Ramadhani kwa baadhi ya watoto kwaajili ya kituo cha Sarnaa Islamic Ophanage Center kilichoko mwanza. Kwa mwaka huu Airtel ilitenga zaidi ya shilingi milioni 10 kwaajili ya kuwasadidia watoto waishio katika mazingira magumu walioko katika vituo mbalimbali nchini.
Afisa Masoko wa kanda ya ziwa wa Airtel , Emmanuel Raphael akikabidhi msaada wa chakula kwa baadhi ya watoto kwaajili wa kituo cha Sarnaa Islamic Ophanage Center kilichoko mwanza kwa ajili ya kufuturu wakati huu wa mfungo wa Ramadhani. Kwa mwaka huu Airtel ilitenga zaidi ya shilingi milioni 10 kwaajili ya kuwasadidia watoto waishio katika mazingira magumu walioko katika vituo mbalimbali nchini. Akishuhudia Mwalimu mkuu wa kituo cha Sarnaa Islamic Ophanage Center, Hashim Hussein
Afisa Masoko wa kanda ya ziwa wa Airtel , Emmanuel Raphael pamoja na Meneja Mauzo wa Airtel , Joel Laizer wakikabidhi msaada wa chakula kwa baadhi ya watoto wa kituo cha Sarnaa Islamic Ophanage Center kilichoko mwanza ili kuwawezesha kufuturu wakati huu wa mfungo wa Ramadhani. Kwa mwaka huu Airtel ilitenga zaidi ya shilingi milioni 10 kwaajili ya kuwasadidia watoto waishio katika mazingira magumu walioko katika vituo mbalimbali nchini
Afisa Masoko wa kanda ya ziwa wa Airtel , Emmanuel Raphael akimkabidhi Mwalimu mkuu wa kituo cha Sarnaa Islamic Ophanage Center, Hashim Hussein msaada wa chakula kwa ajili ya kufuturu wakati huu wa mfungo wa Ramadhani. Kwa mwaka huu Airtel ilitenga zaidi ya shilingi milioni 10 kwaajili ya kuwasadidia watoto waishio katika mazingira magumu walioko katika vituo mbalimbali nchini.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu