Friday, June 10, 2016

ALVIN NA JADON WASHEREKEA SIKU ZAO ZA KUZALIWA PAMOJA JIJINI DAR

Hivi karibuni watoto Alvin na Jadon walisherekea sikukuu zao za kuzaliwa katika kiota cha watoto cha Merrybrown, Masaki jijini Dar es Salaam ambapo Alvin Cathbert alisherekea Mei 24, 2016 na Jadon Jacob Mei 29, 2016.
Alvin akiwa na Mama yake mzazi Ester Ulaya na dada yake Caren.
Alvin na Jadon wakiwa na mama zao.
Wageni waalikwa wakiwaimbia vijana.
Alvin akimlisha mama yake mzazi keki.
Jadon akiimba.
Jadon akimlisha bibi yake.
Jadon akimlisha keki baba yake.
Alvini akiwalisha keki watoto wenzake.
Alvin akiwa na baba, mama na dada yake.
Jadon akimlisha keki mama yake Alvin.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu