Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, ‘Chege Chigunda’ na Ben Pol wakishuhudia Daktari wa Watoto, Prosper Alute akimhudumia mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja katika hospitali ya CCBRT, mtoto huyo alizaliwa na maradhi ya kupinda miguu ambayo yanatibika. Matibabu hayo hufadhiliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.
Benpol akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuwaona watoto wenye matatizo ya kupinda miguu wanaofadhiliwa na Tigo kwa matibabu yao katika Hospital ya CCBRT pembeni yake ni Chege Chigunda
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, ‘Chege Chigunda’ na Ben Pol wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo na Hospital ya CCBRT mara baada ya kuwaona watoto wenye matatizo ya kupinda miguu wanaofadhiliwa na Tigo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: