Tuesday, June 7, 2016

GSM FOUNDATION YATEMBELEA OFISI ZA MMG

Meneja Mkuu wa Taasisi ya GSM Foundation, Shannon Kimwamba (pili kulia) alieambatana na Mdau Henry Mdimu (pili shoto) leo walitutembelea Ofisini kwetu MMG iliyopo katikati ya jiji la Dar kwa kutusabahi na kutushukuru kwa ushirikiano wetu kwao katika kazi nyingi tunazoendelea kuzifanya pamoja. Nasi tunawashukuru sana na kuwaahidi kuendelea kushirikiana zaidi na zaidi. Kushoto ni Meneja Mwendeshaji wa MMG na Kulia Mkuu wa Dawati la Habari wa MMG, Cathbert Kajuna.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu