Richard Jeremia (Kulia) akimvisha pete ya Uchumba, Mchumba wake, Happness Daniel Kulola (Kushoto). Ibada ya kutangaza Uchumba huo ilifanyika jumapili iliyopita, June 05,2016 katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Dr.Daniel Moses Kulola. Sendoff inatarajiwa kufanyika June 29,2016 na Harusi Julai 03,2016. Imeletwa na BMG.
Happness Daniel Kulola (Kushoto), akionyesha pete ya uchumba aliyovishwa na mchumba wake, Richard Jeremia (Kulia).
Shangwe zikiendelea wakati wa zoezi hilo la kutangaza uchumba na kuvisha pete ya uchumba.
Kutoka kushoto ni bwana harusi mtarajiwa, Richard Jeremia, Paul Tukuka na Victor Misana.
Kutoka kushoto ni Mariam Samwel, Bibi harusi mtarajiwa, Happnes Daniel Kulola na Paulina David
Mchungaji Dr.Daniel Mose Kulola, akiwaombea wanandoa watarajiwa baada ya kutangaza uchumba wao kanisani (EAGT Lumala Mpya).
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, wakiwaombea wanandoa watarajiwa baada ya kutangaza uchumba wao kanisani.
Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Dr.Daniel Moses Kulola, akiongoza ibada ya Kusifu katika kanisa hilo.
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya wakiwa katika ibada Kusifu na Kuabudu iliyofanyika jumapili iliyopita.
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya wakiwa katika ibada Kusifu na Kuabudu iliyofanyika jumapili iliyopita.
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya wakiwa katika ibada Kusifu na Kuabudu iliyofanyika jumapili iliyopita.
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, lililopo karibu na Soko jipya la Sabasaba Ilemela jijini Mwanza, wakifuatilia ibada ya jumapili iliyopita.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: