Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Khasim Majaliwa akiwasalimiana na Mhadhiri Mkuu Msaidizi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bw. Egbert Mkoko na Mhariri MKuu wa Mlimani Media ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Bw. Hamis Dambaya (katikati) mara baada ya kutembelea Bungeni mjini Dodoma mapema hivi karibuni.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: