Friday, June 3, 2016

MKURUGENZI MKUU WA AIRTEL AKUTANA NA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC STARS 2016

 Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso (kushoto) akiongea na mshindi wa Airtel Trace Music Stars 2016, Melisa John wakati alipotembelea ofisi za Airtel ili kutoa shukrani na kukutana na wafanyakazi wa Airtel kabla yakuondoka kwenda kwenye Mashindano ya Airtel Trace Music Stars Afrika yatakayofanyika Lagos nchini Nigeria tarehe 11/6/2016. Akishuhudia ni Mkurugenzi wa kikundi cha the voice accapella, Obeid John Mark
 Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akimpongeza mshindi wa Airtel Trace Music Stars 2016, Melisa John wakati alipotembelea ofisi za Airtel ili kutoa shukrani na kukutana na wafanyakazi wa Airtel kabla yakuondoka kwenda kwenye Mashindano ya Airtel Trace Music Stars Afrika yatakayofanyika Lagos nchini Nigeria tarehe 11/6/2016. Akishuhudia ni Mkurugenzi wa kikundi cha The Voice Acappella, Obeid John Mark
 Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akisalimiana na Mkurugenzi wa kikundi cha The Voice Acappella, Obeid John Mark wakati alipomtembelea ofisini kwake . akishuhudia (katikati) mshindi wa Airtel Trace Music Stars 2016, Melisa John
Mshindi wa Airtel Trace Music Stars 2016, Melisa John (katikati) akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso (kushoto) wakati alipotembelea ofisi za Airtel kabla yakuondoka kwenda kwenye Mashindano ya Airtel Trace Music Stars Afrika yatakayofanyika Lagos nchini Nigeria tarehe 11/6/2016. Akishuhudia ni Mkurugenzi wa kikundi cha The Voice Acappella, Obeid John Mark

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu