Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhani Khijjah, akizungumza na baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko huo wakati wa zoezi la kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano Dar es Salaam, (DCC). Tukio hilo lilifanyika wakati wa Kikao cha Baraza la wafanyakazi. Picha na Mafoto Blog
---
Akizungumza baada ya kukabidhi Vyeti hivyo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Ndugu Khijjah, aliwapongeza Wafanyakazi bora wa 2015/16 wa Mfuko huo kwa niaba ya Bodi ya Wadhamini na kuwataka Wafanyakazi wote wa PPF kufanya kazi kwa bidii bila kurudi nyuma ili kuendelea kutimiza malengo.

Katika Kikao hicho jumla ya Wafanyakazi 22, kutoka Kurugenzi na Idara mbalimbali walikabidhiwa vyeti vya Wafanyakazi Bora na Mwenyekiti huyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa William Erio, akizungumza na kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16, iliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano Dar es Salaam, (DCC) jijini, leo Juni 14, 2016.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Julius Mganga, akizungumza wakati wa Kikao hicho.
Baadhi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wa Mfuko huo wakimsikiliza mgeni rasmi wakati akihutubia katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kutoa Vyeti kwa wafanyakazi bora wa mwaka 2015/16.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa hafla ya utoaji Vyeti kwa Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano cha Dar es Salaam (DCC).
Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na utoaji Vyeti kwa wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano cha Dar es Salaam (DCC).
Wafanyakazi bora wakisubiri kupokea Vyeti vyao
Wafanyakazi bora wakisubiri kupokea Vyeti vyao
Wafanyakazi bora wakisubiri kupokea Vyeti vyao. Kulia ni Meneja Rasilimali Watu Adolar Duwe
Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF, Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti mfanyakazi bora wa Kurugenzi ya Uendeshaji, Mary Myamba, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti kwa Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC). Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: