Wednesday, June 1, 2016

PICHA YA LEO

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza jambo na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Wengine ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Augustine Mahiga (kushoto) na Madiwani wa jimbo la Iringa Mjini waliolitembelea Bunge.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu