Tuesday, June 7, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais msaafu Mhe. Benjamin Mkapa Ikulu Dar es Salaam siku ya Jumanne, June 7, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya mazungumuzo na Rais mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam siku ya Jumanne June 7, 2016.

Picha na Ikulu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu