Friday, June 3, 2016

UJUMBE KUTOKA JIANGSU CHINA WAKUTANA NA DKT SHEIN LEO Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa Chama cha Kikoministi cha China kutoka Kamati ya Jimbo la Jiangsu Bw.Luo Zhijon,(kulia) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Kikoministi cha China kutoka Kamati ya Jimbo la Jiangsu ukiongozwa na Katibu wake  Bw.Luo Zhijon,(kushoto) mara  ujumbe huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Kikoministi cha China kutoka Kamati ya Jimbo la Jiangsu ukiongozwa na Katibu wake  Bw.Luo Zhijon,(wa tatu kulia) mara  ujumbe huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni. 
Picha na Ikulu, Zanzibar.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu